Mlinzi wa kati anayefanya majaribio kwenye kikosi cha Yanga Fiston Kayembe anaweza akacheza kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya KMC, keshokutwa Jumapili imefahamika.
Kayembe aliyeletwa na Tshishimbi yuko kwenye kikosi cha Yanga kwa takribani mwezi sasa akifanya majaribio tayari kusajiliwa kwenye dirisha dogo la usajili mwezi Novemba kama atafuzu.
Yanga imedhamiria kuimarisha kikosi chake kitakachoshiriki michuano ya klabu bingwa barani Afrika.

ADVERTISE HERE