Pyramids wanafungika, tunajiandaa kuwakabili

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Oct 2019
Pyramids wanafungika, tunajiandaa kuwakabili

Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Dismas Ten amesema pamoja na takwimu zinazotolewa na wachambuzi kuibeba Pyramids Fc kuelekea mchezo wa kombe la Shirikisho, timu hiyo inafungika

Ten amesema jambo muhimu kwa Yanga ni kuhakikisha inajiandaa kikamilifu ili kupata ushindi kwenye mchezo wa kwanza utakaopigwa jijini Dar es salaam Oktoba 27

"Nimewatizamaa hao jamaa naona ni timu ya kawaida ambayo inafungika," ameandika Ten kwenye ukurasa wa mtandao wa kijamii

"Kitu muhimu kwetu ni maandalizi ya kutosha, kila mmoja awajibike kwenye eneo lake. Tuna kila sababu ya kushinda mchezo wa kwanza tarehe 27/10 kisha tukamalizie shughuli huko kwao.

"Wananchi, wenyenchi ndiyo sisi wale wengine wahamiaji tu wasitutingishe"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’