Tshishimbi anaamini Pyramids Fc wanakufa CCM Kirumba

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 Oct 2019
Tshishimbi anaamini Pyramids Fc wanakufa CCM Kirumba

Nahodha wa Yanga Papy Kabamba Tshishimbi amerejea kikosini baada ya kupona maradhi yaliyokuwa yakimsumbua

Kiungo huyo raia wa DRC amesema pamoja na kufahamu ubora wa mpinzani wao Pyramids Fc, wanaweza kupata ushindi mchezo wao wa kwanza jijini Mwanza

"Tunafahamu wapinzani wetu wako vizuri ndani ya uwanja na hata kiuchumi lakini tuna faida ya kutumia uwanja wa nyumbani"

"Naamini kila mmoja akitimiza wajibu wake tunaweza kufanya vizuri. Muhimu tunaomba mashabiki watuunge mkono, sote tuunganishe nguvu kuhakikisha tunapata matokeo," amesema

Yanga inahitaji matokeo ya ushindi kwenye mchezo huo wa kwanza utakaopigwa uwanja wa CCM Kirumba Oktoba 27

Mara nyingi sio rahisi kuwafunga waarabu wanapokuwa kwao hivyo ushindi wa nyumbani ni jambo la lazima

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
6h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’