Tanzania kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Rwanda leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 Oct 2019
Tanzania kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Rwanda leo

Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' kiko nchini Rwanda ambapo leo watacheza mchezo wa kirafiki dhidi ya wenyeji wao, Rwanda

Mchezo huo wa Kimataifa wa kirafiki ambao uko kwenye kalenda ya FIFA, ni sehemu ya maandalizi ya Stars kuelekea mchezo wa CHAN dhidi ya Sudan ambao utapigwa Oktoba 18 nchini Uganda

Jana jioni Stars ilikamilisha maandalizi yake kwenye uwanja wa Kigali ambao utatumika katika mchezo huo baadae

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’