Majeruhi waanza kurejea kikosini Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Oct 2019
Majeruhi waanza kurejea kikosini Yanga

Winga Parick Sibomana amerejea kikosini baada ya kuwa nje kwa wiki kadhaa kutokana na majeruhi

Sibomana alikosa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union, kuna uwezekano atakuwa tayari kuwakabili Mbao Fc Oktoba 22

Nyota wengine ambao walikuwa majeruhi lakini wameanza mazoezi ni pamoja na Papy Tshishimbi, Raphael Daudi na Paulo Godfrey

Bado changamoto iko kwenye safu ya ulinzi ambapo Kelvin Yondani na Lamine Moro wote ni majeruhi

Aidha Ally Mtoni nae alipata majeraha madogo kwenye mazoezi ya timu hiyo lakini anatarajiwa kuwa tayari kuelekea mchezo dhidi ya Mbao

Ni dhahiri Yanga inaweza kuwakosa baadhi ya nyota wake mechi dhidi ya Mbao ili kuhakikisha wanapona kabisa kuweza kushiriki mchezo dhidi ya Pyramids Oktoba 27

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
24m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’