Kocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera tayari amerejea nchini akitokea DR Congo alikokuwa akikabiliwa na majukumu ya timu ya Taifa
Kesho Mcongomani huyo anatarajiwa kuendelea na majukumu ya kukiandaa kikosi chake kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbao Fc ambao utapigwa Oktoba 22
Zahera amesema mechi dhidi ya Mbao huwa na ushindani mkali lakini wamejipanga kuweza kushinda ili kuwajengea kujiamini wachezaji kuelekea mchezo dhidi ya Pyramids Fc
ADVERTISE HERE