Yanga yaweka hadharani viingilio mechi dhidi ya Pyramids Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Oct 2019
Yanga yaweka hadharani viingilio mechi dhidi ya Pyramids Fc

Uongozi wa klabu ya Yanga umeweka hadharani viingilio vya mchezo wa kwanza wa play-off kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc ambao utapigwa Oktoba 27 kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza

Kiingilio cha chini kabisa Mzunguuko ni Tsh 10,000/- wakati VIP ni Tsh 50,000/-, Royal ni Tsh 70,000/-

Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema timu hiyo itaondoka kesho Jumamosi kuelekea jijini Mwanza ikiwa na kikosi cha wachezaji 24, benchi la ufundi pamoja na viongozi wa Kamati ya Utendaji

Wachezaji wawili walio na majukumu ya timu ya Taifa, wataelekea moja kwa moja jijini Mwanza baada ya mchezo kati ya Sudan dhidi ya Stars ambao utapigwa leo huko Sudan

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’