Jana usiku ilikuwa siku muhimu kwa kocha Mwinyi Zahera ambapo aliadhimisha kumbukumbu ya siku yake kuzaliwa
Viongozi, wachezaji na wadau wa klabu ya Yanga jijini Mwanza walijumuika pamoja kufurahi na bosi huyo wa benchi la ufundi
Tunamtakia kila la kheri, Mwenye ez Mungu ampe maisha marefu


Happy BirthDay Zahera...!
ADVERTISE HERE