Kikosi cha Yanga kiliwasili jijini Mwanza jana tayari kwa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mbao Fc ambao utapigwa keshokutwa uwanja wa CCM Kirumba pamoja na mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Pyramids Fc ambao utapigwa wiki ijayo Oktoba 27
Jana jioni Yanga ilifanya mazoezi kwenye uwanja wa Chuo cha Ualimu Butimba
Mabingwa hao wa kihistoria leo watajifua uwanja wa Nyamagana na kesho watahamia uwanja wa CCM Kirumba

ADVERTISE HERE