Zahera apania kuendeleza rekodi dhidi ya Mbao Fc Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Oct 2019
Zahera apania kuendeleza rekodi dhidi ya Mbao Fc Mwanza

Baada ya msimu uliopita kuvunja mwiko wa kutopata matokeo dhidi ya Mbao Fc kwenye uwanja wa CCM Kirumba, kocha Mwinyi Zahera ameahidi kuendeleza rekodi ya ushindi katika mchezo utakaozikutanisha timu hizo Jumanne

Akiwa na siku mbili tu tangu arejee kutoka DR Congo, Zahera anakiandaa kikosi chake jijini Mwanza kuelekea mchezo huo

Habari njema kwa Yanga ni kurejea kwa wachezaji wake muhimu ambao walikuwa majeruhi

Katika mazoezi yaliyofanyika uwanja wa Nyamagana leo asubuhi, wachezaji ambao walikuwa majeruhi wakiongozwa na Kelvin Yondani, Lamine Moro, Patrick Sibomana, Paul Godfrey na Sadney Urikhob wote walishiriki kikamilifu mazoezi hayo

Yanga inakabiliwa na mchezo wa kwanza wa mtoano kombe la Shirikosho dhidi ya Pyramids Fc Oktoba 27, ushindi dhidi ya Mbao Fc utaongeza morali ya wachezaji kuelekea mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’