Tshishimbi afurahia sapoti ya mashabiki Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Oct 2019
Tshishimbi afurahia sapoti ya mashabiki Mwanza

Nahodha wa Yanga Papy Tshishimbi ameeleza kufurahishwa na mapokezi waliyopewa na mashabiki wa timu hiyo mkoani Mwanza ambapo amewataka wajitokeze kwa wingi kwenye mchezo dhidi ya Pyramids Fc siku ya Jumapili

Aidha Tshishimbi amezungumzia maandalizi ya timu kuelekea mchezo huo unaosubiriwa kwa hamu na mashabiki wa soka nchini

"Upande wetu wachezaji pamoja na benchi la ufundi maandalizi yetu yanaendelea vizuri..Mashabiki wa Mwanza wametupokea vizuri, mambo yote yanakwenda sawasawa," amesema

"Nawakaribisha mashabiki waungane nasi Jumapili, waendelee kutuunga mkono na kutupa moyo ili tuweze kushinda mchezo huo"

Yanga ilitua Mwanza Jumamosi iliyopita ambapo juzi Jumanne ilifanikiwa kuichapa Mbao Fc bao 1-0 kwenye mchezo wa ligi kuu

Mabingwa hao wa kihistoria wamepania kupata ushindi dhidi ya Pyramids Fc kwenye mchezo wa kwanza utakaopigwa Oktoba 27

Timu hizo zitarudiana nchini Misri Novemba 02

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’