Yanga imekuwa na wakati mgumu kwenye kipindi cha kwanza, Pyramids wakitawala mchezo
Uwanja unaonekana kuwa changamoto kwa wenyeji wakati Pyramids wanamudu vyema kupitia mipira mirefu
Kwa Yanga mipira mirefu bado haina faida kwao kwani urefu wa mabeki wa Pyramids ni tatizo
Lakini pia Yanga inatumia mshambuliaji mmoja mbele
Kocha Mwinyi Zahera pengine anahitaji kufanya mabadiliko hasa ya kiuchezaji kuweza kukomboa bao hilo na pengine kusaka ushindi
ADVERTISE HERE