Kikosi cha Yanga kitaondoka nchini siku ya Alhamisi kuelekea Misri kwa ajili ya mchezo wa marudiano dhidi ya Pyramids
Mchezo huo utapigwa siku ya Jumapili
Yanga tayari imerejea jijini Dar es salaam kutokea Mwanza ambako ilikubali kipigo cha mabao 2-1 jana
Kikosi cha kocha Mwinyi Zahera kinahitaji kupata ushindi wa angalau mabao 2-0 katika mchezo huo ili kuweza kukata tiketi ya kutinga makundi
ADVERTISE HERE