Lwandamina amtabiria makubwa Msuva

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Oct 2017
Lwandamina amtabiria makubwa Msuva
Kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina amemwagia sifa winga wa Difaa Al Jadida, Simon Msuva na kumtabiria kuwa muda si mrefu atafanikiwa kwenda kusakata kabumbu Ulaya.

Msuva alisajiliwa na Difaa ya Morocco kutokea klabu ya Yanga aliyoitumikia kwa misimu mitano.

Wawili hao walikutana kwenye dimba la Uhuru wiki iliyopita wakati wa mazoezi ambapo Stars na Yanga zilikuwa zikitumia uwanja huo kwa muda tofauti.

Lwandamina ameeleza kuvutiwa na kiwango cha winga huyo aliyekuwa nae kwenye kikosi cha Yanga kwa miezi sita.

Msuva alirejea nchini kwa ajili ya kuitumikia timu ya Taifa kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Malawi akifanikiwa kufunga bao la Stars katika mchezo huo uliomalizika kwa sare ya bao 1-1.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’