Nasubiri barua ya kufukuzwa Yanga - Zahera

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Nov 2019
Nasubiri barua ya kufukuzwa Yanga - Zahera

Wakati uongozi wa Yanga ukiwa umetangaza kulivunja benchi lake la ufundi, aliyekuwa kocha Mkuu wa timu hiyo Mwinyi Zahera amesema hana rasmi taarifa ya uamuzi huo

Zahera amesema alipaswa kuandikiwa barua rasmi juu ya uamuzi huo uliochukuliwa

"Kwa utaratibu wa kazi, kama mwajiri anataka kuvunja mkataba wako inapaswa akuandikie barua kuhusu kusudio lake, kwa leo mimi sijapata barua," amesema Zahera

"Hata kama mmezungumza, lakini utaratibu ni lazima uandikiwe barua"

Akitangaza uamuzi wa kulivunja benchi la ufundi mapema leo, Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla alisema wamezungumza na Zahera pamoja na Noel Mwandila juu ya uamuzi huo uliofikiwa

Leo baada ya mazoezi ya asubuhi, Zahera aliitwa Makao Makuu ya klabu ya Yanga ambako alitaarifiwa rasmi kuhusu uamuzi uliofikiwa na Kamati ya Utendaji

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
25m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’