KMC wamemtimua Mayanja, Zahera ataibukia huko?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Nov 2019
KMC wamemtimua Mayanja, Zahera ataibukia huko?

Klabu ya KMC imetangaza kuachana na aliyekuwa kocha wake Mkuu Jackson Mayanja baada ya mfululizo wa matokeo mabaya

Jana timu hiyo ilifungwa na Kagera Sugar mabao 2-1 kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa Uhuru

Mayanja anakuwa kocha wa pili kuonyeshwa mlango wa kutokea wiki hii baada ya Yanga kumtimua Zahera siku chache zilizopita

Amedumu KMC kwa miezi minne tu akiiongoza timu hiyo kutolewa kombe la Shirikisho hatua ya awali na wakati kwenye ligi KMC imejikusanyia alama nane tu baada ya kucheza mechi nane

Je Mcongomani Mwinyi Zahera anaweza kuibukia KMC? Hivi karibuni alisema atarejea kuishi Tanzania ambako ana mpango wa kuanzisha Academy ya soka

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’