Wakiwa bado mkoani Mtwara, kikosi cha Yanga leo kimetembelea daraja la Mtambaswala ambalo linaunganisha Tanzania na Msumbiji
Daraja hilo ambalo liko mpakani, ni moja ya vivutio vinavyopatikana mkoani Mtwara
Ni shangwe kwa mashabiki wa Yanga wa maeneo hayo ambao leo wamepata nafasi ya kuwashuhudia 'mbashara' nyota wa timu hiyo

ADVERTISE HERE