Nyota wanne Yanga waitwa Zanzibar Heroes

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Nov 2019
Nyota wanne Yanga waitwa Zanzibar Heroes

Michuano ya Chalenji inayohusisha Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, inatarajiwa kupigwa mwezi ujao kuanzia Disemba 01-19 nchini Uganda

Kocha wa timu ya Taifa ya Zanzibar 'Zanzibar Heroes' Hemed Morocco ametangaza majina 40 ya wachezaji wa kikosi cha awali ambao watachujwa na kubaki 23

Beki Ally Ally, viungo Abdulaziz Makame, Feisal Salum na Mohammed Issa 'Banka' wote wamejumuishwa katika kikosi hicho

Ikumbukwe ni michuano hii ambayo iliwatambulisha nyota hao mwaka 2017 ilipofanyika nchini Kenya na Zanzibar Heroes kutinga fainali

MAKIPA

1.Abdul-latif Said Masoud (Jamhuri)
2. Mohamed Abrahman (JKT TZ)
3.Mohamed Muali (Polisi Tz)
4.Abdallah Rashid "Babu" (Ruvu Shooting)
5.Haji Juma "Chafu" (JKU)
6.Ahmed Ali "Salula" (Malindi)

WALINZI

1.Suleiman Said Juma (Zimamoto)
2.Mohammed Othman Mmanga (Polisi Tz)
3.Ibrahim Mohamed "Sangula" (KVZ)
4.Mwinyi Haji Ngwali (KMKM)
5.Juma Kukuti Adam (Polisi Tz)
6.Ally Haji (Mwenge)
7.Abdul Malik Adam (Mafunzo)
8.Ali Juma Maarifa (Malindi)
9.Issa Haidar Dau (JKU)
10.Abdallah Kheir (Azam)
11.Ibrahim Ame Mohd (Coastal Union)
12.Ally Ally (Yanga)
13.Abubakar Ali (Mlandege)
14.Ibrahim Hamad (Malindi)
15.Agrey Morris (Azam)
16.Abubakar Ame "Luiz" (Malindi)

VIUNGO

1.Abdul aziz Makame (Yanga)
2.Abdul swamad Kassim (Kagera)
3.Awesu Awesu (Kagera)
4.Mudathir Yahya (Azam)
5.Is haka Said (KMKM)
6.Adam Ibrahim "Edo" (KMKM)
7.Kassim Suleiman (Azam)
8.Haroun Abdallah (Zimamoto)
9.Feisal Salum (Yanga)
10.Mohamed Issa (Yanga)
11.Mustafa Muhsin "Park" (Zimamoto)
12.Helefin Salum (Mlandege)
13.Baraka Shaaban (Ruvu Shooting)
14.Khalid Shaaban (Rich boys)
15.Abdallah Hassan Nassor "Abal" (Polisi Tz)
16.Mohd Mussa (Mbeya City)
17.Mohamed Abdallah (Mlandege)
18.Ally Juma "Larson" (Mafunzo)

WASHAMBULIAJI

1.Ibrahim Hamad "Hilika" (Zimamoto)
2.Abdul nassir Asaa (Mlandege)
3.Khamis Mussa "Rais" (Malindi)
4.Said Salum "Etoo" (Kipanga)
5.Ibrahim Abdallah "Imu Mkoko" (Malindi)
6.Mussa Ali Mbarouk (KMKM)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’