Huyu Yondani kumbe 'beki mbili' anaiweza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Nov 2019
Huyu Yondani kumbe 'beki mbili' anaiweza

Akiwa katika majukumu ya timu ya Taifa, beki Kelvin Yondani jana alionyesha kuwa anamudu majukumu ya ulinzi wa kulia bila ya wasiwasi

Katika mchezo huo dhidi ya Guinea ya Ikweta ambao Stars iliibuka na ushindi wa mabao 2-1, katika kipindi cha pili kocha Etienne Ndayiragije alimpeleka Yondani kucheza namba mbili huku akimpumzisha Hassani Kessy na kumuingiza mshambuliaji Ditram Nchimbi akiwaacha Erasto Nyoni na Bakari Mwamnyeto wakicheza safu ya ulinzi wa kati

Yondani alikuwa hodari katika ulinzi lakini pia akionyesha umahiri kwenye kupandisha mashambulizi

Pamoja na umri wake kusogea, Yondani bado anaonekana kuwa na kasi, nguvu na uwezo wa kukabiliana na changamoto yoyoye awapo uwanjani

Nadhani wachezaji wanaochipukia wana cha kujifunza kutoka kwa mkongwe huyu ambaye amekuwa katika kiwango bora katika kipindi cha miaka nane au zaidi iliyopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’