Yanga kunoa silaha dhidi ya Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Nov 2019
Yanga kunoa silaha dhidi ya Coastal Union

Kikosi cha Yanga leo Jumapili Novemba 17 saa kumi jioni kitashuka uwanja wa Taifa kuikabili Coastal Union katika mchezo wa kirafiki

Huo utakuwa mchezo wa pili baina ya timu hizo msimu huu ambapo zilikutana kwenye ligi na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0

Yanga iliyocheza na Coastal Union kwenye ligi ilikuwa ikinolewa na kocha aliyetimuliwa, Mwinyi Zahera

Yanga ya wakati huu ni tofauti, sasa inanolewa na Charles Mkwasa ambaye ni Kaimu kocha Mkuu

Ni mchezo ambao utamsaidia Mkwasa kuangalia mapungufu ya kikosi chake katika jitihada za kujenga Yanga mpya

Viingilio vya mchezo huo VIP ni Tsh 5,000/- na Mzunguuko ni Tsh 3,000/-

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’