Leo ni kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa mmoja wa walinda lango bora kabisa kwa sasa nchini Tanzania Metacha Mnata
Uwezo alioonyesha wakati akiwa na Mbao Fc msimu uliopita, ulimpa nafasi ya kujiunga na Yanga, mabingwa wa kihistoria Tanzania
Aidha Metacha pia amekuwa mmoja wa walinda lango tegemeo wa timu ya Taifa
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu kwake

HAPPY BIRTHDAY METACHA..!
ADVERTISE HERE