Wanachama Yanga wamwaga misaada Mafinga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Nov 2019
Wanachama Yanga wamwaga misaada Mafinga

Wanachama wa Yanga Tawi la Mafinga, maarufu kama Vanyalutogo, wametoa msaada wa Tanki la Maji na Mashine ya kuvuta maji (Water Pump) kwa Shule ya Sekondari ya Iyongole.

“Vifaa hivi vyote vimetolewa na Wanayanga wenyewe, hii ni Timu ya Wananchi na tunawafikia Wananchi kwa namna mbalimbali,” Gift Mwachang’a,Mwenyekiti wa Tawi.

Kufuatia msaada huo wenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni moja, Mbunge wa Mafinga Mhina Mh. Cosato Chumi amewapongeza Wanayanga kwa juhudi za kutatua changamoto katika jamii.

“Hongereni sana Yanga Mafinga, huu ni uwanamichezo uliotukuka, kwanza mlianza na Tanki la maji, lakini tena mkajiongeza mumekabidhi na pump. Huu ni uzalendo wa kimichezo.”

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
25m ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
15h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
19h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
19h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’