Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Yanga dhidi ya KMC umemalizika kwa sare ya bao 1-1
Kwa mara nyingine, safu ya ulinzi ya Yanga imeshindwa kupata 'cleanshit' wakiwaruhusu KMC kupata mkwaju wa penati kwenye dakika za majeruhi ikisababishwa na mkongwe Kelvin Yondani
Abdul Hilary aliisawazishia KMC kupitia mkwaju huo

Mrisho Ngasa aliitanguliza Yanga kwa bao safi kwenye dakika ya 73 akimalizia pasi murua ya Sibomana
Yanga leo ilicheza taratibu sana kulinganisha na michezo ya nyuma ambayo walishinda
Leo wachezaji watajilaumu wenyewe kwa kushindwa kulinda ushindi ambao ungewahakikishia kuondoka na Milioni 10 za GSM
ADVERTISE HERE