Mgunda kuiongoza Kilimanjaro Stars Uganda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Dec 2019
Mgunda kuiongoza Kilimanjaro Stars Uganda

Wakati timu za Taifa za Tanzania Bara (Kilimanjaro Stars) na Zanzibar (Heroes) zikijiandaa kuelekea Uganda kushiriki michuano ya Chalenji, kulikuwa na mkanganyiko kuhusu nafasi ya kocha Mkuu wa Kilimanjaro Stars

Etienne Ndayiragije ni kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) hivyo kumtumia kwa timu ya Bara kwenye michuano hiyo isingekuwa jambo jema

TFF imemtangaza Juma Mgunda kuingoza Kilimanjaro Stars kwenye michuano hiyo akisaidiwa na Selemani Matola

Mgunda na Matola ni makocha wasaidizi wa Stars

Kwa mujibu wa TFF, Ndayiragije atakwenda Uganda kama mshauri wa kiufundi wa timu zote ambapo pia atapata nafasi ya kufuatilia viwango vya wachezaji wake

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’