Yanga ziarani Kigoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Dec 2019
Yanga ziarani Kigoma

Klabu ya Yanga inatarajiwa kufanya ziara mkoani Kigoma ambako itacheza mechi mbili za kirafiki

Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga mapema leo, kikosi cha mabingwa hao wa kihistoria kitaondoka Alhamisi ya tarehe 12/12/2019

Mchezo wa awali utachezwa tarehe 13/12/2019 dhidi ya Mwamgongo FC na mwingine ni 15/12/2019 dhidi ya MBAO FC.

Michezo yote hii miwili itachezwa Uwanja wa Lake Tanganyika.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’