Mamia wajitokeza kumzika Mzee Akilimali

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Dec 2019
Mamia wajitokeza kumzika Mzee Akilimali

Mwanachama maarufu wa Yanga Mzee Ibrahim Akilimali ambaye alikumbwa na umauti hapo jana, amezikwa leo mbele ya Msikiti wa Ibrahim Akilimali uliopo Tandale kwa Mtogole jijini Dar es salaam

Enzi za uhai wake Mzee Akilimali alikuwa Imaam wa msikiti huo

Mwenyekiti wa Yanga Dk Mshindo Msolla na Katibu Mkuu wa timu hiyo Dk David Ruhago ni miongoni mwa wadau wengi waliojitokeza kumpumzisha Mzee Akilimali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
15h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
20h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’