Azam yamaliza utata usajili wa Nchimbi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Dec 2019
Azam yamaliza utata usajili wa Nchimbi

Uongozi wa klabu ya Azam Fc umesema aliyekuwa mshambuliaji wao Ditram Nchimbi ni mchezaji halali wa Yanga baada ya makubaliano kufikiwa

Jana uongozi wa Polisi Tanzania ulitoa malalamiko kuwa hawakushirikishwa katika mchakato wa usajili wa mshambuliaji huyo

Hata hivyo Azam imetoa taarifa kuwa Nchimbi alikuwa ni mchezaji wao, walimtoa kwa mkopo Polisi Tanzania

"Tumemalizana na uongozi wa timu ya Yanga, kwa kuwauzia mshambuliaji wetu, Ditram Nchimbi, aliyekuwa kwa mkopo Polisi Tanzania," imesema taarifa ya Azam FC

"Uongozi wa Azam FC ulikuwa na nia ya kumuongezea mkataba Nchimbi, lakini mchezaji huyo alituomba kutoongeza mkataba mpya na sisi, na kututaka tumalizane na Yanga ili kujiunga nao kwenye usajili huu wa dirisha dogo"

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’