Ugumu kumnasa Miquissone uko hapa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Dec 2019
Ugumu kumnasa Miquissone uko hapa

Klabu ya Yanga italazimika kulipa zaidi ya dola 50,000 (zaidi ya Tsh Milioni 110) kuweza kuipata saini ya kiungo mshambuliaji wa Mamelodi Sundowns Luis Miquissone, imefahamika

Nyota huyo aliyekuwa akiitumikia kwa mkopo UD Songo, bado ana mkataba na Mamelodi ambapo inaelezwa timu hiyo iko tayari kumuachia kwa dau hilo

Aidha ushindani wa kumuwania mshambuliaji huyo umeongezeka baada ya klabu ya Simba nayo kujitosa

Wakati Yanga wakifanya mazungumzo na mchezaji, Simba wao walitangulia Afrika Kusini ambapo Mtendaji wao Mkuu ambaye ni raia wa Afrika Kusini alikwenda kufanya mazungumzo na Mamelodi

Simba wanaonekana kuwa mbele zaidi katika mchakato wa kumsajili winga huyo aliyewaondosha kwenye michuano ya ligi ya mabingwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’