Yanga kamili kuikabili Tanzania Prisons leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
27 Dec 2019
Yanga kamili kuikabili Tanzania Prisons leo

Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Tanzania Prisons dhidi ya Yanga ambao awali ulipangwa kupigwa uwanja wa Sokoine mkoani Mbeya, sasa utapigwa Samora mkoani Iringa leo

Bodi ya Ligi ililazimika kufanya mabadiliko baada ya kuufungia uwanja wa Sokoine ambao uliharibika vibaya kufuatia Tamasha la Muziki lililofanywa na Wasafi siku ya Krismasi

Yanga iliwasili mkoani Iringa jana usiku tayari kwa mchezo huo ambao utapigwa saa kumi jioni

Pamoja na kukubali kushuka dimbani, Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wataidai TFF gharama walizotumia kusafiri kutoka Mbeya kwenda Iringa ambako mchezo huo utachezwa

Aidha amesema kikosi kiko tayari kwa mchezo huo ambapo wamesema ni mchezo ambao wanahitaji kushinda hasa baada ya kukosa ushindi katika michezo miwili iliyopita

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
14h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’