Nchimbi aahidi utumishi uliotukuka Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Dec 2019
Nchimbi aahidi utumishi uliotukuka Yanga

Mshambuliaji mpya wa Yanga Ditram Nchimbi amesema anajisikia faraja kujiunga na mabingwa hao wa kihistoria ambao wana heshima ya kipekee katika soka Tanzania

Nchimbi amesema kwa ushirikiano na wachezaji wenzake, atahakikisha mchango wake unakuwa wa manufaa kwa timu kufikia malengo yake

"Ni furaha kuwa sehemu ya timu kubwa na yenye mafanikio makubwa katika nchi yetu na Afrika kwa jumla," amesema

"Naahidi utumishi uliotukuka ili kufikia malengo kwa pamoja wachezaji wenzangu,benchi la ufundi ,viongozi pamoja na mashabiki"

Nchimbi amesajiliwa na Yanga akitoka klabu ya Azam Fc ambapo timu hiyo ilikuwa imemtoa kwa mkopo Polisi Tanzania

Mshambuliaji huyo aliyefunga mabao manne mpaka sasa kwenye ligi, alichagua kujiunga na Yanga licha ya Azam Fc kutaka kumuongezea mkataba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’