Andrew Vicent 'jembe' limerejea

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
29 Dec 2019
Andrew Vicent 'jembe' limerejea

Beki Andrew Vicent 'Dante' amerejea kwenye kikosi cha Yanga baada ya kumalizika kwa sintofahamu iliyokuwepo baina yake na uongozi

Beki huyo kisiki aliungana na timu mkoani Mbeya

Bado kocha Charles Mkwasa hajaanza kumtumia kwenye kikosi chake pengine amempa muda wa kufanya mazoezi na timu ili aweze kuwa 'fit'

Lakini huenda akaanza kuonekana dimbani kesho kwenye mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United

Amerejea wakati muafaka kuelekea mchezo dhidi ya Simba

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’