Jana usiku Yanga ilifanikiwa kutinga nusu fainali ya michuano ya kombe la mapinduzi baada ya kuilaza jamhuri mabao 2-0
Yanga itachuana na Mtibwa Sugar kwenye mchezo wa nusu fainali keshokutwa
Picha na matukio mbalimbali yaliyojiri jana;







ADVERTISE HERE