FT : Yanga 1-1 Mtibwa Sugar p(2-4)

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2020
FT : Yanga 1-1 Mtibwa Sugar p(2-4)

Yanga imeondoshwa kwenye michuano ya kombe la Mapinduzi baada ya kukubali kipigo cha mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya Mtibwa Sugar kufuatia matokeo ya sare ya bao 1-1

Deus Kaseke aliitanguliza Yanga kwa bao safi kwenye dakika ya 37 akiachia kombora nje ya 18

Hata hivyo wakati mchezo huo ukielekea ukingoni, Mtibwa Sugar walisawazisha kupitia bao la Kibwana Shomary

Kelvin Yondani na Abdulaziz Makame walikosa mikwaju ya penati, Boxer na Balama ndio waliofunga penati mbili za Yanga

Yanga iliyocheza mbele ya kocha mpya Luc Eymael, haikuonekana kuwa na shauku ya kusaka ushindi kwenye mchezo huo

Kaimu Kocha Msaidizi Said Maulid ndiye aliyepewa jukumu la kuisimamia timu kwenye michuano hiyo

Hata kikosi alichotumia kwenye mchezo wa leo, hakikuwa kikosi cha kwanza

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’