Yanga kuukarabati uwanja wa Kaunda

Admin By Admin
β€’
28 Jun 2017
Yanga kuukarabati uwanja wa Kaunda
Klabu ya Yanga ina mpango wa kuukarabati uwanja wake wa Kaunda ili uanze kutumika na klabu hiyo, imeelezwa.

Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwassa amesema tayari wataalamu wa klabu wamewasiliana na NEMC ili kupata njia sahihi ya kudhibiti maji yanayotuama kipindi cha mvua.

Uwanja huo ulio pembezoni mwa jengo la klabu hiyo hujaa maji na kuonekana kama bwawa la kufugia samaki.

"Hatuna uwanja mwingine zaidi ya Kaunda na mipango iliyopo ni kuukarabati uwanja wetu huu na kuanza kutumika kama uwanja wa mazoezi,' amesema Mkwassa

"Eneo la uwanja wa Kaunda ni eneo letu kihalali na tuna kama eka 8.5, katika ukarabati wetu tutaweka uwanja wa mazoezi na maeneo mengine muhimu yaayostahili kwa mchezaji.

"Zoezi limekwishaanza kwa hatua za awali ikiwamo kuwasiliana na Nemc kuona ni vipi tutayadhibiti maji yanayotuama kipindi cha mvua.

"Kuyadhibiti maji hayo inawezekana na kuirejesha Kaunda katika hadhi nzuri, hiyo ndiyo plani tuliyonayo katika suala zima la uwanja"
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’