Mwakalebela afunguka mchakato wa kocha msaidizi Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 Jan 2020
Mwakalebela afunguka mchakato wa kocha msaidizi Yanga

Leo Ijumaa ilikuwa siku ambayo uongozi wa Yanga uliahidi kumtambulisha Kocha Msaidizi atakayeshirikiana na Kocha Mkuu Luc Eymael

Hata hivyo Makamu Mwenyekiti wa Yanga Fredrick Mwakalebela amesema tukio hilo halitafanyika kama walivyopanga kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya michakato

Inaelezwa Yanga tayari imemalizana na kocha wa Kagera Sugar Meckie Mexime na ndiye aliyetarajiwa kutangazwa leo

Hata hivyo mabingwa hao wa kihistoria bado  hawajamalizana  na Kagera Sugar ambayo Mexime ana mkataba wa miezi sita

Mwakalebela amesema watamtambulisha mara tu pale mazungumzo kati yao na Kagera Sugar yatakapokamilika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
33m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
5h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’