Eymael kamrudisha Molinga Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Jan 2020
Eymael kamrudisha Molinga Yanga

Kocha Mkuu wa Yanga Luc Eymael ndiye aliyezuia kuachwa kwa mshambuliaji David Molinga ambaye alikuwa miongoni mwa wachezaji waliokuwa wametemwa dirisha dogo, imefahamika

Inaelezwa baada ya kumfuatilia kupitia video mbalimbali, Eymael aliagiza Molinga arejeshwe kikosini huku akiahidi kuimarisha nidhamu yake

Molinga aliwakera mabosi wa Yanga kwenye mchezo dhidi ya Biashara United pale alipoondoka moja kwa moja uwanjani baada ya kufanyiwa mabadiliko

Tukio hilo lilitafsiriwa kama dharau kwa aliyekuwa kaimu kocha mkuu Charles Mkwasa pamoja na uongozi wa Yanga kwa ujumla

Baada ya kurejeshwa Molinga amefanya mazoezi na kikosi cha Yanga kwa siku mbili na anaweza kuwa sehemu ya kikosi kitakachoikabili Azam Fc siku ya Jumamosi katika mchezo wa ligi kuu utakaopigwa uwanja wa Taifa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’