Jana Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) lilitoa tamko kuhusu kauli ya kuwepo kwa ubaguzi wa rangi iliyotolewa na Kocha wa Yanga Luc Eymael kwenye mchezo wa jana dhidi ya Azam FC laitaka Bodi ya Ligi kuchukua hatua
Eymael alitoa malalamiko juzi baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc kufuatia kitendo cha mwamuzi wa mchezo huo kugoma kumpa mkono baada ya mchezo kumalizika
Hata hivyo ni kama tamko hilo linamlenga Eymael

ADVERTISE HERE