Dk Ruhago aishangaa Bodi ya Ligi kubadili ratiba bila taarifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Jan 2020
Dk Ruhago aishangaa Bodi ya Ligi kubadili ratiba bila taarifa

Katibu Mkuu wa Yanga Dk David Ruhago ameishukia Bodi ya Ligi kwa kufanya mabadiliko ya ratiba bila kuzihusisha timu husika

Dk Ruhago ametoa malalamiko hayo baada ya Yanga kutakiwa kusafiri kwenda mkoani Singida kuikabili Singida United hapo kesho wakati awali ratiba lionyesha mcheoz huo ulipaswa kupigwa mkoani Arusha

"Tayari tulikuwa tumeshaingia gharama ya usafiri pamoja na kambi mkoani Arusha lakini ghafla tunaambiwa tunatakiwa kwenda Singida," amesema Dk Ruhago

Yanga ililazimika kusafiri jana kuelekea mkoani Singida kwa ajili ya mchezo dhidi ya Singida United ambao utapigwa kesho, Jumatano uwanja wa Namfua

Mabingwa hao wa kihistoria walitua Singida jana jioni na leo wanatarajia kufanya mazoezi ya mwisho dimba la Namfua

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
46m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’