Nafasi nne za Tanzania zayeyuka CAF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Jan 2020
Nafasi nne za Tanzania zayeyuka CAF

Msimu ujao Tanzania itatoa uwakilishi wa timu mbili kwenye michuano ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) baada ya kupokwa uwakilishi wa nafasi nne na Libya

Baada ya Al Nasri ya Libya kutinga robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho, Libya imefikisha alama 16.5 na hivyo kuchupa mpaka nafasi ya 12 ambayo ilikuwa ikishikiliwa na Tanzania yenye alama 14

CAF inatoa uwakilishi wa timu nne kwa nchi 12 ambazo zinakuwa na alama nyingi zinazohesabiwa kwa kuangalia mafanikio ya vilabu vya nchi husika kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na kombe la Shirikisho katika kipindi cha miaka mitano

Msimu huu Tanzania iliwakilishwa na timu nne lakini hakuna timu ambayo ilifanikiwa kupenya hatua ya makundi

Ikumbukwe alama hizo zinaanza kuhesabiwa kuanzia hatua ya makundi

Hivyo msimu ujao Tanzania itatoa Mwakilishi mmoja kwenye michuano ya ligi ya mabingwa na mwakilishi mmoja kwenye michuano ya kombe la Shirikisho

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
1h ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
13h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
17h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
22h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
22h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’