Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya klabu ya Yanga Rdgers Gumbo jana alipata msiba mkubwa baada ya kufiwa na Baba yake yake mzazi, Mzee Joseph Gumbo
Msiba umetokea mkoani Tanga, amba taratibu za mazishi zinafanyika nyumbani kwa marehemu, Msambweni
Mazishi ya Mzee Gumbo yatafanyika kesho Bwembera, Wilayani Muheza
Mwenye ez Mungu ailaze roho yake Mahali Pema, AMEN..
ADVERTISE HERE