Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) imeikana ratiba ya Yanga inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ambayo inaonyesha timu hiyo kuwa na mechi mbili kwa siku moja baadhi ya siku
Taarifa iliyotolewa na Bodi hiyo mapema leo, imesema ratiba sahihi ilitolewa mapema leo

ADVERTISE HERE