Mtaalam wa Yanga mpya alikuwepo uwanja wa Taifa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Feb 2020
Mtaalam wa Yanga mpya alikuwepo uwanja wa Taifa

Mshauri wa Yanga katika uendeshaji wa soka la kisasa Carraca Antonio Domingoz Pinto leo alikuwepo uwanja wa Taifa kuwashuhudia vijana wakitoa burudani kwa mashabiki waliojitokeza kushuhudia mchezo wa ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar

Yanga ilitakata kwenye mchezo huo ikifanikiwa kuondoka na ushindi wa bao 1-0, bao lililowekwa kimiani na David Molinga

Mchezo huo pia ulishuhudiwa na raia wengi wa kigeni ambao walionyesha mapenzi yao kwa klabu ya Yanga, wakitinga uwanjani na uzi wa Yanga

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’