Uongozi wa Yanga umewarejesha kikosini nyota wake watatu, Cleofas Sospeter, Ali Ali na Raphael Daudi ambao walikuwa wametolewa kwa mkopo, imefahamika
Cleofas na Lothi walipaswa kujiunga na kabu ya Singida United wakati Ali Ali alitakiwa akaitumikie JKT Tanzania
Hata hivyo nyota hao walipinga kutolewa kwa mkopo wakiomba wapewe nafasi ya kupigania namba kikosini
Ali na Cleofas leo wameshiriki mazoezi maandalizi ya mchezo dhidi ya Lipuli Fc ambao utapigwa keshokutwa kwenye uwanja wa Taifa
ADVERTISE HERE