Hapa Yanga ndio ilipaswa kulalamika

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Feb 2020
Hapa Yanga ndio ilipaswa kulalamika

Jana kwenye mchezo dhidi ya Lipuli Fc, katika moja ya matukio, mlinda lango wa Yanga Metacha Mnata alilazimika kutumia uzoefu wake kuzuia mpira uliokuwa unaelekea wavuni kwa kuubana mpira sambamba na mlingoti wa goli

Picha za marudio za Azam Tv zinaonyesha dhahiri kuwa mpira haukuvuka mstari. Ili lihesabiwe goli, sheria inataka mpira wote uwe umevuka mstari wa langoni

Lakini kilichowashangaza wengi ni kitendo cha mwamuzi msaidizi kuwazawadia Lipuli Fc mpira wa kona ambapo haifahamiki alitumia sheria ipi

Pengine mwamuzi alichanganywa na presha ya wachezaji wa Lipuli Fc ambao walikuwa wakilazimilisha kuwa mpira umeingia langoni jambo ambalo halikuwa sahihi

Baadhi ya mashabiki hasa wa Simba wanatumia tukio hilo kulinganisha na matukio mengi yanayotokea katika michezo yao

Ukweli ni kwamba Yanga ndio ilipaswa kulalamikia kona iliyotolewa na mwamuzi msaidizi baada ya Metacha kuzuia mpira uliokuwa ukielekea wavuni

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’