Molinga anaendeleza moto wa kupasia nyavuni

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Feb 2020
Molinga anaendeleza moto wa kupasia nyavuni

Mshambuliaji kiongozi wa Yanga David Molinga ameendelea kutumia vyema nafasi ya kuaminiwa aliyopewa na kocha Luc Eymael akiendelea kufunga mabao

Bao alilofunga leo dhidi ya Ruvu Shooting limemfanya Mcongomani huyo afikishe mabao saba na kuwa nafasi ya tatu miongoni mwa wafungaji bora wa ligi kuu mpaka sasa

Molinga amefunga mabao saba sawa na Yusufu Mhilu wa Kagera Sugar na Paul Nonga wa Lipuli Fc

Ameachwa kwa tofauti ya bao moja na Reliants Lusajo na Daruweshi Saliboko ambao wamefunga mabao nane kila mmoja wakati Meddie Kagere wa Simba anaongoza akiwa amefunga mabao 12

Molinga ameanza kuwa na mwendelezo mzuri wa kufunga mabao, jambo ambalo linaweza kumuweka kwenye nafasi nzuri katika mbio za kuwania kiatu cha dhahabu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’