Abdul alia na sare dhidi ya Mbeya City

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Feb 2020
Abdul alia na sare dhidi ya Mbeya City

Nahodha Msaidizi wa Yanga Juma Abdul amesema matokeo ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Mbea City hawakuyatarajia, lakini ndivyo mpira ulivyo

Katika mchezo huo ambao Yanga ilitawala kila idara, ilitengeneza nafasi nyingi lakini waliweza kutumia nafasi moja tu

"Dah! sijui hata niseme nini ila acha tumuachie yeye mwenyewe muumba sababu alishapanga iwe vile"

"Hapo ndipo utakapojua mchezo wa mpira una matokeo ya kikatili.. lakini tunakushukuru mungu wetu hata kwa hiki kidogo ulichotupatia inshaallah," ameandika Abdul kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram

Kwenye mchezo huo bao la Yanga lilifungwa na Bernard Morrison lakini likipita mguuni kwa Abdul ambaye msimu huu amerejea kwenye makali yake

Abdul amehusika kwenye mabao matano ya Yanga mpaka sasa msimu huu katika michezo ya ligi kuu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’