Tanzania yatupwa kundi D CHAN

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Feb 2020
Tanzania yatupwa kundi D CHAN

Michuano ya Mataifa Barani Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani inayofahamika kama CHAN inatarajiwa kufanyika mwezi April 2020 huko Cameroon Tanzania ikikata tiketi ya kushiriki michuano hiyo kwa mara ya pili

Katika droo ya makundi iliyofanyika jana nchini Misri, Tanzania imepangwa kundi D pamoja na mataifa ya Zambia, Guinea na Namibia

Itafungua michuano hiyo kwa kuumana na Zambia katika mchezo wake wa kwanza

Kama Stars itapata maandalizi ya kutosha, inaweza kufanya vizuri kwenye michuano hiyo na pengine angalau kuvuka hatua ya makundi

Haya hapa makundi yote

SPOTIKA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’