Wajumbe wa Kamati mbalimbali zilizoundwa na TFF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 Feb 2020
Wajumbe wa Kamati mbalimbali zilizoundwa na TFF

Kamati ya Rufani za Leseni : Dk. Damas Ndumbaro (Mwenyekiti), Dk. Alex Mgongolwa (Makamu Mwenyekiti), Charles Matoke, David Kivembele, na Robert Selasela

Kamati ya Leseni za Klabu : Wakili Lloyd Nchunga (Mwenyekiti), Wakili Emmanuel Matondo (Makamu Mwenyekiti), Sunday Kayuni, George Mayawa, na Tumaini Mringo

Kamati ya Futsal na Beach Soccer : Blassy Kiondo, Isaac Munisi, na Didas Zimbihile

Kamati ya Tiba : Dk. Paul Marealle (Mwenyekiti), Dk. Fred Limbanga (Makamu Mwenyekiti), Dk. Norman Sabuni, Dk. Lisobina Kisongo, Dk. Eliezer Ndama, Dk. Billy Haonga, na Dk. Violet Lupondo;

Kamati ya Habari na Masoko : Steven Mnguto (Mwenyekiti), Osuri Kosuri, Cyprian Kuyava, Mgaya Kingoba, Dk. Omar Saleh, na Saleh Ally.

Kamati ya Mpira wa Wanawake : Amina Karuma (Mwenyekiti), Mia Mjengwa (Makamu Mwenyekiti), Rose Kisiwa, Somoe Ng’itu, Zena Chande, Beatrice Mgaya, Sofia Tigalyoma, na Zabibu Juma.

Kamati ya Waamuzi : Soud Abdi (Mwenyekiti), Israel Nkongo (Makamu Mwenyekiti), Zahra Mohamed, John Kanyenye, na Samwel Mpenzu.

Kamati ya Mpira wa Vijana : Khalid Abdallah (Mwenyekiti), Lameck Nyambaya (Makamu Mwenyekiti), Mohamed Aden, Nassib Mabrouk, Salim Kibwana, Vicent Majili, Kenneth Pesambili, Nicky Magarinza, na Philip Alando.

Kamati ya Ufundi : Vedastus Lufano (Mwenyekiti), Mrisho Bukuku (Makamu Mwenyekiti), Ibrahim Masoud, Ally Mayay, Michael Bundala, Jumbe Menye,na Edibily Lunyamila.

Kamati ya Mashindano : Ahmed Mgoyi (Mwenyekiti), Saloum Chama (Makamu Mwenyekiti), James Mhagama, Patrick Kahemele, Fortunatus Kalewa, Shafih Dauda, Sarah Chao, Said Tully, na Ali Kamwe.

Kamati ya Fedha na Mipango : Athumani Nyamlani (Mwenyekiti), Francis Ndulane (Makamu Mwenyekiti), Pascal Kihanga, Maxmillian Tabonwa, Paul Bilabaye, Allen Mrindoko, Evans Mgeusa, na Seif Muba.

Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji : Mwanasheria Elias Mwanjala (Mwenyekiti), Said Soud (Makamu Mwenyekiti), Zakaria Hans Poppe, Issa Batenga, Wakili Msanifu Kondo, na Said George.

Katika hatua nyingine, Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imeunda Kamati ya Maendeleo ya Miradi ili kusimamia utekelezaji wa miradi ya ujenzi wa vituo vya michezo vya Kigamboni, Dar es Salaam na Tanga

Kabla ya kuunda Kamati hii, Kamati ya Utendaji ilipokea taarifa ya maandalizi ya utekelezaji wa miradi hiyo kwenye kikao chake kilichofanyika Februari 18, 2020 jijini Dar es Salaam.

Wajumbe wa Kamati hiyo ni Lucy Mzengi (Mwenyekiti), Mhandisi Hersi Said, Mhandisi Hamad Ramadhan, na Mhandisi Charles Adrian. 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
13h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’