Ni ushindi tu ambao Yanga inahitaji Tanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Feb 2020
Ni ushindi tu ambao Yanga inahitaji Tanga

Baada ya kulazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Polisi Tanzania juzi, kikosi cha Yanga kimeelekea moja kwa moja mkoani Tanga kuwafuata Coastal Union 'wagosi wa kaya'

Siku ya Jumapili, Februari 23 mchezo wa kukata na shoka dhidi ya Coastal Union utapigwa uwanja wa Mkwakwani

Yanga itaingia kwenye mchezo huo ikihitaji ushindi baada ya kutoka sare katika michezo yote mitatu iliyopita

Afisa Mhamasishaji wa Yanga Antonio Nugaz amesema wanatambua ugumu wa mchezo huo lakini hawana namna nyingine zaidi ya kuhakikisha wanashinda

"Mchezo wetu dhidi ya Coastal Union ni mgumu sana. Tukanakwenda kupambana Insha Allah ili tuondoke na alama tatu kani hatuna namna tukutane Mkwakwani.." amesema

Mara ya mwisho timu hizo zilipokutana jijini Dar es salaam Yanga iliondoka na ushindi wa bao 1-0 ambalo lilifungwa na Abdulaziz Makame 'Bui'

Timu hizo pia zilikutana kwenye mchezo wa kirafiki na Yanga kuibuka na ushindi wa mabao 3-1

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’