Mchezo dhidi ya Gwambina Fc kupigwa usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Feb 2020
Mchezo dhidi ya Gwambina Fc kupigwa usiku

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeweka hadharani ratiba ya michezo ya raundi ya tano ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)  ambayo itapigwa Februari 25 na Februari 26

Yanga itacheza na Gwambina Fc siku ya Jumatano, Februari 26 katika mchezo ambao utapigwa uwanja wa Taifa, saa moja usiku

Washindi wa raundi hii watajihakikishia kutinga hatua ya robo fainali ya michuano hiyo

Ratiba ya michezo yote

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’